KAULI LENGO LA IDARA YA CA’s
(MISSION STATEMENT)
Idara ya
Wajumbe wa Kristo (Christ’s Ambassadors) ipo kwa ajili ya
1
Kuhamasisha,
2
Kuunganisha,
3
Kulea na kukuza vijana
4
Kupandisha maono na mzigo wa kuabudu, kutumika, kushirikiana, kujifunza
Neno la Mungu, uongozi na utayari wa kujitoa kwa gharama yoyote ndani ya
wajumbe wake ili kwa kutimia mbinu mbalimbali tuharakishe kulifikia Taifa na
ulimwengu wote kwa Injili ya Bwana Yesu na hivyo kulitimiza kikamilifu Agizo
Kuu.
No comments:
Post a Comment